kila mmoja sasa ni zamu ya kuombewa kwa kuwekewa mikono na mchungaji Florian Josephat katunzi ndani ya kanisa ambapo alifundisha neno la nguzo ya urejesho.
Friday, 26 May 2017
Thursday, 29 December 2016
Thursday, 15 September 2016
Monday, 22 August 2016
Saturday, 21 May 2016
Imeelezwa kuwa katika kongamano la siku tisini watu
mbalimbali waliokuwa na matatizo na shida mbalimbali wamefunguliwa na kuwekwa
huru na wengi wameshuhudia jinsi Mungu alivyo wafungua katika taabu zao.
Akifundisha katika kongamano hilo mchungaji kiongozi wa
kanisa la EAGT City Center Mchungaji Florian Katunzi alisema kuwa katika
kongamano hilo kuna maombi ndani mwa maombi ambao kuna vipengele mbalimbali na kwa wiki hiii
inahitimika na kiengele cha kumiliki na kutawala.
Mchungaji Florian Katunzi akionesha mkufu na kizibo ambayo alitapika binti Amina.
Baba mzazi wa Amina akishuhudia jinsi biti yake alivyofunguliwa katika mateso ya pepo wachafu.wazazi wa binti huyo wakiwa madhabauri na mdogo wake
Mchungaji Katunzi akionesha mkufu na kizibo ambayo binti huyo alidai kuwa ametumwa kuja kuchukulia damu.
waumini ndani ya kanisa la EAGT City Center waiomba wakiongozwa na mchungaji Katunzi hayupo pichani
Subscribe to:
Posts (Atom)