POSTAL ADDRESSP.O BOX 71415
DAR ES SALAAM - TANZANIA
TELEPHONE:+255 754 367 826
+255 784 367 826
EMAILS:maombi@eagtcc.org
pastor@eagtcc.org
info@eagtcc.org

 
Lead Pastor
 
Pastor Florian Josephat Katunzi




Women Coordinator


Mrs Rachel Katunzi
 
 

15 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Mchungaji Katunzi mahubiri yako huwa yananibariki sana siyo tu kunibariki bali hata kunibadilisha mtazamo wangu na pia kunipa tumaini ya kuendelea kumwamini Mungu sana.
    Nilianza kukusikiliza tangu mwaka 2013 nikiwa nchini Sweden, na nilimwambia Mungu nataka nimuone huyu mchungaji na zaidi sana aniombee niwe na roho ya kutumika zaidi.
    Nilirudi nchini Tanzania mwaka jana, kulingana na shughuli zangu sikueeza kufika, lakini sasa umefika wakati wa kumuona Mungu kuputia wewe Mchungaji Josephat Katunzi.

    Naitwa Ushindi Baraka Emmanuel (Kamugisha)

    ReplyDelete
  3. Mungu akubariki sana Mchungaji kwa kazi njema sana unayoifanya. Amen.

    ReplyDelete
  4. Amina kubwa Boniphace Mungu akubariki sana

    ReplyDelete
  5. Glory to God pastor katunzi.

    ReplyDelete
  6. Mimi pia ni mmoja wa watoto wa Mungu wengi waliofunguliwa ktk madhabahu ya EAGT City centre. Ubarikiwe mno pastor katunzi na mama Rachel katunzi.pia sospeter na Esther. Mungu akubariki.nilikuwa na challenges sana ktk relationship lakin tulikuja mch katunzi ulitushauri na katubariki ofisini kwako sjui kama unakumbuka. Amshukuru Mungu Mimi na Frank tunatarajia kufunga ndoa january kanisani kwako na tutadumu hapo kwa kuwa tumewekwa na Mungu chini ya uongozi wako mch katunzi.Mungu akujaze mema ya mbinguni mch katunzi.unafanya kazi njema ubarikiwe sana.

    ReplyDelete
  7. Bwana YESU apewe sifa mtumishi mungu akuongezee neema juu ya neema kwa kazi nzuri unafanya ya kuvunja kazi ya shetani katika saa ya ushindi na kufunguliwa ndani ya MAOMBI NDANI MWA MAOMBI na utakatifu ..

    ReplyDelete
  8. Mpaka sasa sijaona Tanzania Hii anaye mfikia Mch katunzi.. Mch katunzi yupo kiroho sana.. Ana hubiri rohon sana.. ukiingia kanisan mwake uwez kutoka km ulivyoingia una mwepes unafuraha Na Aman.. hata Kam ajakuwekea mikono.. mahubir it's super.. Amefungua watu kwenye vifungo ambavyo n ngumu katika mwili.. binafs amenifungua Na sikujua kma Nina matatizo kumbe nilikuwa mkristo mfu.. Ila kuja Na kusali Na kuhudhuria ibada zote nimefunguliwaa... Yaan nashindwa hata nisameje.. Mch katunzi Ana ubaguzi ana roho Pekee. Kuonana naye sio ofisin.. ni kanisani ndan manakaa kwenye viti.. mmoja mmoja unaenda kumueleza shida yako.. Na anakuombe a Na lazima ufunguliwe.. akuombi sadaka au utoe hela ili akuombee Ana hiyo tabia .. maana MUNGU amemtuma afungue watu vifungo vilivyoshindikana... Kma wew umefunguliwa unatakiwa umshukuru Mungu mbele ya madhabahu ya MUNGU.. MUNGU akubariki Pst katunzi

    ReplyDelete
  9. Bwana Yesu asifiwe baba nabarikiwa sana na mahubiri yako lakini nina shida sana na maombi yako

    ReplyDelete
  10. Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu, hakika roho wa bwana yu juu yako maana bwana amekupaka mafuta, nabarikiwa sana namahubiri yako

    ReplyDelete
  11. Kumpenda adui yako ni jambo lililo gumu kwa mwanadamu. Lakini kwa yule aliye wa Yesu ameagizwa kumpenda adui yake. je, hatujui kwamba kwachukia maadui zetu ni kutokumtii Bwana wetu Yesu Kristo mwokozi! Ni vyema sasa, kabla ya yote, tuitubu dhambi ya kuwachukia adui zetu.

    ReplyDelete
  12. God bless you Pastor Ninabarikiwa sana na utumishi wako.

    ReplyDelete
  13. Bwana Yesu Asifiwe Mchungaji tulitaka kujua mahubiri ya Radioni Kwa sasa mmesitisha? Mimi natokea mbeya,nimda sasa hatusikii mahubiri Kwa NJIA ya radio,naomba kujua pia twawezaje kuyapata mahubiri yako ya live unapofundisha.

    ReplyDelete
  14. Mchungaji Katunzi ubarikiwe Sana kwa huduma yako nabarikiwa Sana na mahubiri yako yananifundisha na kuniinua kiimani kila nikikusikiliza upendo TV Bwana alikuita kwa kusudi maalum na kupitia wewe wengi watamwona Mungu na kuuona ufalme wake uzid kuinuliwa zaidi na zaid Amina naitwa Tamari Athanas

    ReplyDelete
  15. Samahani watumishi kirefu cha neno CGM ni nini?

    ReplyDelete

Total Pageviews

Eagt City Centre Blog 2013. Powered by Blogger.

About Me

My photo
Jicho langu latoka machozi lisokome,wala haliachi;Hata BWANA atakapoangalia. Nakutazama toka mbinguni Maombolezo 3:49-50

Followers

Featured Posts

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget