|
WIKI 21 ZA UREJESHO NA UKOMBOZI, KUANZIA TAREHE 11 AUG MPAKA TAREHE 29 DECEMBER 2013. KATIKA VIWANJA VYA SABA SABA KUANZIA SAA 9 MCHANA KILA JUMAPILI. "Aliwatoa katika giza na uvuli wa mauti akayavunja mafungo yao." Zab 107:14
|
SIKILIZA MAHUBIRI HAYA - WAPO RADIO 98.1 FM LIVE SASA HIVI . NA MARUDIO NI KILA JUMAPILI SAA NNE USIKU NA KURUDIWA JUMATATU SAA SABA MCHANA.
|
Rev. Katunzi akiombea mtu mmoja mmoja, zaidi ya watu elfu tatu waliombewa
|
|
Watu zaidi ya elfu (3000) wakiwa kwenye Ibada ya urejesho ya kugeuza uteka asubuhi ya leo. Bado watu wanaendelea Kuja kwa wingi sana.
Jumapili ya tareh 21st , Steven Mgaya alikabidhi vifaa vyake vya kichawi na kiganga, na jumapili ya leo amekabidhi vingine tena.
|