Mchungaji Frolian Katunzi akiwaombea watu katika moja ya ibada zinazofanyika Kanisa hapo. |
Mchungaji Frolian Katunzi akihubiri Kanisani. |
Baadhi ya waumini wa Kanisa la EAGT City wakiwa katika maombi mazito. |
Hiyo ni moja ya irizi aliyokutwa nayo mmoja wa watu katika ibada ya maombezi iliyofanyika katika Kanisa la EAGT City Center chini ya mchungaji kiongozi Frolian Katunzi. | Add caption |
Baadhi ya waumini wa Kanisa la EAGT City Center wakiwa katika ibada ya kusifu na kuabudu. |
Waumini wa Kanisa la EAGT City Center wakimiminika kwa maombi mazito baada ya kimbunga cha roho mtatifu kuwapitia. |