Mchungaji F.J. Katunzi
Wiki
jana nilikufundisha juu ya aina za funguo za kufungua malango na milango,
ambapo nilikwambia zipo aina tano na nikakufundisha funguo mbili kati ya hizo.
Funguo ya kwanza ilikuwa ni Neno la Mungu na ya pili ilikuwa ni Imani.
Nilikwambia
ya kuwa neno la Mungu ni kauli ya Mungu yenye Mamlaka, Uweza na Nguvu za
ki-Mungu zenye kuleta mageuzi...
Friday, 12 December 2014
00:42
Pastor Katunzi
No comments
Kwa Takribani miezi SITA sasa WANAWAKE WA KANISA LA EAGT CITY CENTRE walikuwa wakiendelea na changizo kwaajili ya ununuzi wa gari aina ya LANDCRUZER V8 ikiwa ni katika kutimiza makusudi la tatu kati ya matano ya wanawake wainjilisti ( WWI) ndani ya kanisa.
Zoezi hili lilifanikiwa kwa asilimi 100 ambapo wanawake hawa walifanikiwa kununua...
Subscribe to:
Posts (Atom)