
" Nilikuwa nimesikia habari zako, kwa kusikia kwa masikio ; Bali sasa jicho langu linakuona ." Ayubu 42:5
Kama ambavyo mtumishi wa Mungu Ayubu alivyosema hivyo ndivyo wana EAGT CITY CENTRE TUNASEMA LEO!!!
Ama kwa hakika tumemuona Mungu akifanya na ataendelea kufanya maana tulikotoka ni mbali kuliko tunakokwenda...!!!
Kwa takribani miaka mitano sasa tumekuwa tukiabudu katika...