Mtu aliyebebelewa ni mgonjwa ambaye ameletwa kanisani akiombewa na mchungaji Florian Katunzi katika ibada iliyofanyika ndani kanisa hapo hivi karibun...
Thursday, 29 December 2016
Thursday, 15 September 2016
Monday, 22 August 2016
Saturday, 21 May 2016
Imeelezwa kuwa katika kongamano la siku tisini watu
mbalimbali waliokuwa na matatizo na shida mbalimbali wamefunguliwa na kuwekwa
huru na wengi wameshuhudia jinsi Mungu alivyo wafungua katika taabu zao.
Akifundisha katika kongamano hilo mchungaji kiongozi wa
kanisa la EAGT City Center Mchungaji Florian Katunzi alisema kuwa katika
kongamano hilo kuna maombi ndani mwa...
Mchungaji Florian Katunzi akionesha mkufu na kizibo ambayo alitapika binti Amina.
Baba mzazi wa Amina akishuhudia jinsi biti yake alivyofunguliwa katika mateso ya pepo wachafu.
wazazi wa binti huyo wakiwa madhabauri na mdogo wake
Mchungaji Katunzi akionesha mkufu na kizibo ambayo binti huyo alidai kuwa ametumwa kuja kuchukulia damu.
waumini ndani ya kanisa...
Monday, 16 May 2016
Friday, 6 May 2016
Thursday, 21 April 2016
08:38
Pastor Katunzi
No comments
Mchungaji askofu Katunzi akifundisha neno la Mungu ndani ya kanisa
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Faraja Ntaboba kutoka nchini Congo akihudumu ndani ya kanisa la EAGT City Center.
kutoka kushoto ni mke wa askofu Katunzi,mchungaji Rachael Katundi
Watoto wa kanisa la EAGT City Center wakimtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji ndani ya kanisa wakati wa kutoa...
Sunday, 10 April 2016
Askofu Josephat Katunzi akifundisha neno la Mungu katika kanisa la EAGT City Center iliyopo Mtoni Mtongani.
akifafanua neno ndani ya kanisa la EAGT.
Pokea kwa jina la Yesu mtenda miujiza.
Maombi na maombezi yakiendelea ndani ya kanisa hilo la EAGT City Center.
Waliovamiwa na mapepo wakifunguliwa kwa jina la Yesu.
pokea uponyaji kwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)