Mchungaji askofu Katunzi akifundisha neno la Mungu ndani ya kanisa
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Faraja Ntaboba kutoka nchini Congo akihudumu ndani ya kanisa la EAGT City Center.
kutoka kushoto ni mke wa askofu Katunzi,mchungaji Rachael Katundi
Watoto wa kanisa la EAGT City Center wakimtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji ndani ya kanisa wakati wa kutoa...
Thursday, 21 April 2016
Sunday, 10 April 2016
Askofu Josephat Katunzi akifundisha neno la Mungu katika kanisa la EAGT City Center iliyopo Mtoni Mtongani.
akifafanua neno ndani ya kanisa la EAGT.
Pokea kwa jina la Yesu mtenda miujiza.
Maombi na maombezi yakiendelea ndani ya kanisa hilo la EAGT City Center.
Waliovamiwa na mapepo wakifunguliwa kwa jina la Yesu.
pokea uponyaji kwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)