Sunday, 21 July 2013

 
 STEVE IBRAHIM MGAYA, Mganga na mchawi alikamatwa na  nguvu Mungu leo wakati ibada ikiendelea, Rev. Katunzi alimuongoza Sala ya toba.

                               ALIKABIDHI MIKOBA YOTE YAKICHAWI NA KIGANGA.         
      
                                                                      Vichupa

                                                                      Vifaa vya kichawi

                                                

                                                           Fimbo na sanda za misukule

                                               BAADA YAKUKABIDHI VIFAA VYAKE REV. KATUNZI ALIMUONGOZA SALA YA TOBA NA KUMUOMBIA STEVE IBRAHIM MGAYA.





Related Posts:

  • MAOMBI YA FUNGUA MALANGO NA MILANGO-12 SILAHA NANE ZA KUFUNGUA MILANGO NA MALANGO YALIYOFUNGWA MBELE YAKO; SILAHA YA SITA GEUZA UTEKA WAKO Maombi yetu ni ya kufungua Malango na Milango, sasa tunaingia hatua ya sita ya Kuvaa Silaha; Silaha ni lazima Ugeu… Read More
  • MAOMBI YA FUNGUA MALANGO NA MILANGO-11 SILAHA NANE ZA KUFUNGUA MILANGO NA MALANGO YALIYOFUNGWA MBELE YAKO; SILAHA YA TANO REJESHA KILA KILICHOKUWA KIMECHUKULIWA; Katika hatua hii ya tano, ni hatua ya urejesho maana baada ya kuokolewa Kristo Yesu ameku… Read More
  • MAOMBI YA FUNGUA MALANGO NA MILANGO-9 SILAHA NANE ZA KUFUNGUA MILANGO NA MALANGO YALIYOFUNGWA MBELE YAKO; SILAHA YA TATU USIKATE TAMAA Usikate tamaa katika yale unayo yaamini BWANA atakufanyia, kwakuwa Mungu wetu hachelewi wala hawai isipokuwa anaji… Read More
  • MAOMBI YA FUNGUA MALANGO NA MILANGO-13 SILAHA NANE ZA KUFUNGUA MILANGO NA MALANGO YALIYOFUNGWA MBELE YAKO; SILAHA YA SABA UTOAJI WA DHABIHU Kutoa Dhabihu au Sadaka sio kununua kitu kwa Mungu bali ni ishara ya unyenyekevu mbele za Mungu na ni tendo kamili… Read More
  • MAOMBI YA FUNGUA MALANGO NA MILANGO-10 SILAHA NANE ZA KUFUNGUA MILANGO NA MALANGO YALIYOFUNGWA MBELE YAKO; SILAHA YA NNE  INUKA KWA IMANI Malango ya Israeli yalifungwa muda wa miaka ishirini, Mashujaa walikoma, Watu walionewa kwa nguvu za Sisera m… Read More

2 comments:

  1. Mungu ni Mungu wa wote ata wachawi wamekili kuwa Mungu si wa mchezo

    ReplyDelete
  2. Mungu ni Mungu wa wote ata wachawi wamekili kuwa Mungu si wa mchezo

    ReplyDelete

Total Pageviews

129,795
Eagt City Centre Blog 2013. Powered by Blogger.

About Me

My photo
Jicho langu latoka machozi lisokome,wala haliachi;Hata BWANA atakapoangalia. Nakutazama toka mbinguni Maombolezo 3:49-50

Followers

Featured Posts

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget