Sunday, 21 July 2013

Wale walio wa Bwana, watamuabudu Bwana  katika roho na kweli. Ibada ya kwanza iliyoanza saa moja na nusu leo.
Rev. Katunzi (aliyeshika mic phone amevaa suti kushoto) akiwa madhabahuni pa Bwana akiongoza sala ya toba kwa waliamua kumpe Bwana maisha yao siku ya leo.
                                       Rev. F. J . Katunzi akiombea waliookoka siku ya leo.

      Mwalimu Busara, Mtaalamu wa uchumi na uwekezaji, akifundisha juu ya uchumi na uwekezaji leo asubuhi, Jitahidi sana upate hili somo ni zuri sana na kuna vitabu vyake na dvd, wiki ijayo atakuwa anamaliza somo hili. Hapa anaseama " Fedha ndogo inaleta fedha kubwa pia kulinda fedha yako ni wakati wa kununu vitu wakati vimeshuka bei kama viwanja na hisa za bank, kwenye biblia Yusufu alinunua vitu wakati vimeshuka bei wakati uchumi umeshuka".
   Mwl. Busara akiendelea, hapa anasema " Hivi rubani wa ndege anaweza kwenda kuomba ushauri wa kurusha ndege kwa msukuma mkokoti "?   akama unasumbuliwa na uchumu mtafute mwl. Busara atakusaidia sana katika biashara yako, atakupa misingi ya biashara ya uchumi  ambayo ujawahi kusikia popote.

Related Posts:

  • MAOMBI YA FUNGUA MALANGO NA MILANGO-8 SILAHA NANE ZA KUFUNGUA MILANGO NA MALANGO YALIYOFUNGWA MBELE YAKO; SILAHA YA PILI (ii) UWE HODARI TU Silaha hii ni ya muhimu sana katika maombi yetu ya kufungua milango na malango maana mwenye imani itendayo kazi … Read More
  • MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO NA MILANGO-5. Mpendwa msomaji bado naendelea na somo hili la MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO NA MILANGO na ninapenda kukutaarifu ya kuwa KITABU  cha somo hili tayari kipo mtaani hvy fika katika kanisa la EAGT City Center ili ujipatie na… Read More
  • MAOMBI YA FUNGUA MALANGO NA MILANGO-7 Mara baada ya kukufndisha juu ya FUNGUO TANO za kufungua malango na milango, sasa nataka nikufundishe juu ya kipengele kingine ambacho ni ; SILAHA NANE ZA KUFUNGUA MILANGO NA MALANGO YALIYOFUNGWA MBELE Y… Read More
  • MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO NA MILANGO-4 Mpendwa msomaji bado naendelea na somo hili la maombi ya kufungua malango na milango, ambalo pia utaweza jipatia nakala ya kitabu chako hivi punde. Toleo lilipita nilikugusia juu ya ufunguo wa pili wa kufungua milango n… Read More
  • MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO NA MILANGO-6 UFUNGUO WA TANO NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU Neno “Nguvu” kwa lugha ya Kigiriki ni (dunamis) ina maana ya zaidi ya Nguvu au Uwezo wa kawaida. “Inaashiria hasa nguvu iliyo katika utendaji wa ki-Mungu, hii ni nguvu zaidi ya… Read More

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

129,809
Eagt City Centre Blog 2013. Powered by Blogger.

About Me

My photo
Jicho langu latoka machozi lisokome,wala haliachi;Hata BWANA atakapoangalia. Nakutazama toka mbinguni Maombolezo 3:49-50

Followers

Featured Posts

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget