Saturday 17 August 2013

Waumini wakimsikiliza Rev. Katunzi katika Ibada ya Ukombozi na Urejesho.


Ibada ya jioni kuanzia saa Tisa ni Ibada ya Maombezi kwa kila mmoja.


Baada ya siku 13 ya Maombi ya Urejesho, sasa ni wiki 21 za Urejesho na Ukombozi, Bwana Yesu anakwenda kufanya MGUSO WA PILI katika Maisha yako. Inawezekana Mguso wa kwanza haukupata majibu kamili Usipitwe na Mguso huu wa Pili.   Marko 8:22-26

Sunday 4 August 2013

WIKI 21 ZA UREJESHO NA UKOMBOZI, KUANZIA TAREHE 11 AUG MPAKA TAREHE 29 DECEMBER 2013. KATIKA VIWANJA VYA SABA SABA KUANZIA SAA  9 MCHANA KILA JUMAPILI.  "Aliwatoa katika giza na uvuli wa mauti akayavunja mafungo yao." Zab 107:14

 SIKILIZA MAHUBIRI HAYA - WAPO RADIO 98.1 FM LIVE SASA HIVI . NA MARUDIO NI KILA JUMAPILI SAA NNE USIKU NA KURUDIWA JUMATATU SAA SABA MCHANA.

Rev. Katunzi akiombea mtu mmoja mmoja, zaidi ya watu elfu tatu waliombewa




Watu zaidi ya elfu (3000) wakiwa kwenye Ibada ya urejesho ya kugeuza uteka asubuhi ya leo. Bado watu wanaendelea Kuja kwa wingi sana.





Jumapili ya tareh 21st , Steven Mgaya alikabidhi vifaa vyake vya kichawi na kiganga, na jumapili ya leo amekabidhi vingine tena.




Total Pageviews

Eagt City Centre Blog 2013. Powered by Blogger.

About Me

My photo
Jicho langu latoka machozi lisokome,wala haliachi;Hata BWANA atakapoangalia. Nakutazama toka mbinguni Maombolezo 3:49-50

Followers

Featured Posts

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget