Sunday 28 July 2013

IBADA YA ASUBUHI KAKA HUYO ALIMUONA MUNGU AKIMFUNGUA KATIKA VIFUNGO VYA UCHAWI.

HAPPY KAMILI AKIOJIWA LIVE NA WAPO RADIO FM

ASUBUHI HADI MCHANA IBADA YA UREJESHO ILIRUKA LIVE KUPITIA WAPO RADIO FM.

MAMA MCHUNGAJI KATUNZI AKIOJIWA LIVE JUU YA IBADA HII YA UREJESHO , NDANI LA GARI LA WAPO RADIO FM.

WALIO WAKE WATABUABUDU BWANA KATIKA ROHO NA KWELI.

PASTOR KAMILI AKIOMBEA WATU IBADA YA MCHANA LEO. HAKIKA WATU WALI REJESHEWA VYOTE WALIVYOIBIWA NA ADUI SHETANI.





PASTOR ATHANASE KAMILI KUTOKA MBEYA

MOTO NI ULE ULE!

HAPPY KAMILI - MUIMBAJI ( MKE WA PASTOR KAMILI )

TULIABUDU NA QUEEN MCHOVU

KWA UWEZA WA MUNGU PEKEE

BY FIRE BY FORCE, MPAKA KIELEWEKE, PASTOR KAMILI ALIWASHA MOTO WA UREJESHO.
FOLENI YA WATU TAYARI KWA MAOMBI YA MTU MMOJA MMOJA.


MAMA MCHUNGAJI KATUNZI AKISISITIZA JAMBO.
PASTOR KAMILI AKIHUBIRI IBADA YA JIONI.
ALIENDELEA KWA KUOMBEA KILA MMOJA KUREJESHEWA KILICHOCHUKULIWA NA ADUI.
MPANGO WA MUNGU NI LAZIMA UTIMIE



Add caption








Sunday 21 July 2013

Katika Ibada ya urejesho Rev. Katunzi akiombea mtu mmoja mmoja katika ibada ya 3

Watu wakipanga mstari teyari kwa kuombewa na kurejeshewa



Mpaka watoto waliwekewa mkono ili wawe na ulinzi wa Mungu

Watu walizidi kujipanga kwenye mstari.




Watu wengi walifunguliwa kutoka kwenye roho za mauti, magonjwa, kutokuolewa na shida mbali mbali.(Upande wa operation)
Watu walijaa mpaka nje ya ukumbi.

Rev. F J KATUNZI, Mchungaji kiongozi wa kanisa la Eagt city centre akihubiri neno la leo la ibada ya 3 ya maombi na maombezi ya urejesho.
Muimbaji wa nyimbo za injili anayevuma na wimbo unaoitwa HAKUNA KAMA, akimsifu Mungu kwa urejesho unaoendelea kuonekana kila siku kanisani hapa.
1


Akina mama, vijana na wazee wakimsifu Mungu kwa kuwatendea mema katika kipindi hiki cha mombi ya urejesho yanayoendelea na leo ni sehemu ya kumi na mbili.
   
Hakuna kama wewe Bwana Yesu. USIKOSE JUMAPILI IJAYO TAREHE 28TH JULY MAOMBI NA MAOMBEZI YA UREJESHO YANAENDELEA, LETA WAGONJWA NA WATU WOTE WENYE SHIDA MBALIMBALI BWANA YESU ATAWAFUNGUA NA KUWAPONYA KABISA. TUKO CHUO CHA UTALII -TANDIKA KONA YA BANDARI.








 
 STEVE IBRAHIM MGAYA, Mganga na mchawi alikamatwa na  nguvu Mungu leo wakati ibada ikiendelea, Rev. Katunzi alimuongoza Sala ya toba.

                               ALIKABIDHI MIKOBA YOTE YAKICHAWI NA KIGANGA.         
      
                                                                      Vichupa

                                                                      Vifaa vya kichawi

                                                

                                                           Fimbo na sanda za misukule

                                               BAADA YAKUKABIDHI VIFAA VYAKE REV. KATUNZI ALIMUONGOZA SALA YA TOBA NA KUMUOMBIA STEVE IBRAHIM MGAYA.





Total Pageviews

Eagt City Centre Blog 2013. Powered by Blogger.

About Me

My photo
Jicho langu latoka machozi lisokome,wala haliachi;Hata BWANA atakapoangalia. Nakutazama toka mbinguni Maombolezo 3:49-50

Followers

Featured Posts

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget