| Mchungaji Frolian Katunzi akiwaombea watu katika moja ya ibada zinazofanyika Kanisa hapo. |
| Mchungaji Frolian Katunzi akihubiri Kanisani. |
| Baadhi ya waumini wa Kanisa la EAGT City wakiwa katika maombi mazito. |
| Hiyo ni moja ya irizi aliyokutwa nayo mmoja wa watu katika ibada ya maombezi iliyofanyika katika Kanisa la EAGT City Center chini ya mchungaji kiongozi Frolian Katunzi. | Add caption |
| Baadhi ya waumini wa Kanisa la EAGT City Center wakiwa katika ibada ya kusifu na kuabudu. |
| Waumini wa Kanisa la EAGT City Center wakimiminika kwa maombi mazito baada ya kimbunga cha roho mtatifu kuwapitia. |

