Sunday 21 July 2013

Wale walio wa Bwana, watamuabudu Bwana  katika roho na kweli. Ibada ya kwanza iliyoanza saa moja na nusu leo.
Rev. Katunzi (aliyeshika mic phone amevaa suti kushoto) akiwa madhabahuni pa Bwana akiongoza sala ya toba kwa waliamua kumpe Bwana maisha yao siku ya leo.
                                       Rev. F. J . Katunzi akiombea waliookoka siku ya leo.

      Mwalimu Busara, Mtaalamu wa uchumi na uwekezaji, akifundisha juu ya uchumi na uwekezaji leo asubuhi, Jitahidi sana upate hili somo ni zuri sana na kuna vitabu vyake na dvd, wiki ijayo atakuwa anamaliza somo hili. Hapa anaseama " Fedha ndogo inaleta fedha kubwa pia kulinda fedha yako ni wakati wa kununu vitu wakati vimeshuka bei kama viwanja na hisa za bank, kwenye biblia Yusufu alinunua vitu wakati vimeshuka bei wakati uchumi umeshuka".
   Mwl. Busara akiendelea, hapa anasema " Hivi rubani wa ndege anaweza kwenda kuomba ushauri wa kurusha ndege kwa msukuma mkokoti "?   akama unasumbuliwa na uchumu mtafute mwl. Busara atakusaidia sana katika biashara yako, atakupa misingi ya biashara ya uchumi  ambayo ujawahi kusikia popote.

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Eagt City Centre Blog 2013. Powered by Blogger.

About Me

My photo
Jicho langu latoka machozi lisokome,wala haliachi;Hata BWANA atakapoangalia. Nakutazama toka mbinguni Maombolezo 3:49-50

Followers

Featured Posts

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget