| Katika Ibada ya urejesho Rev. Katunzi akiombea mtu mmoja mmoja katika ibada ya 3 |
| Watu wakipanga mstari teyari kwa kuombewa na kurejeshewa |
| Mpaka watoto waliwekewa mkono ili wawe na ulinzi wa Mungu |
| Watu walizidi kujipanga kwenye mstari. |
| Watu wengi walifunguliwa kutoka kwenye roho za mauti, magonjwa, kutokuolewa na shida mbali mbali.(Upande wa operation) |
| Watu walijaa mpaka nje ya ukumbi. |
| Rev. F J KATUNZI, Mchungaji kiongozi wa kanisa la Eagt city centre akihubiri neno la leo la ibada ya 3 ya maombi na maombezi ya urejesho. |
| Muimbaji wa nyimbo za injili anayevuma na wimbo unaoitwa HAKUNA KAMA, akimsifu Mungu kwa urejesho unaoendelea kuonekana kila siku kanisani hapa. |
| Akina mama, vijana na wazee wakimsifu Mungu kwa kuwatendea mema katika kipindi hiki cha mombi ya urejesho yanayoendelea na leo ni sehemu ya kumi na mbili. |


0 comments:
Post a Comment