Mchungaji katunzi katika picha ya pamoja akifurahia shuhuda za matendo makuu ya Mungu na baadhi ya watu waliokufunguliwa katika vifungo vya shetani
Waumini wa kanissa la EAGT City Center katika maombi ya pamoja hivi karibuni.
Mchungaji Katunzi akishangaa vitendea kazi vya kichawi ambazo Hassan alivikabidhi Kwake baada ya maombi ya nguvu za Mungu kanisani hapo
Ndugu Hassa ne akionesha Pembe ya Kolongo Mtu
Hassani akionesha baadhi ya vitendea kazi vya kichawi ndani ya kanisa hilo
mchungaji Katunzi akimwongoza sala ya toba Hassan baada ya kukabidhi vifaa vya kichawi kanisani hapo baada ya maombi alifunguliwa na sasa yupo huru
Vifaa vinavyodaiwa kuwa ni vya kichawi mali ya mtu mmoja aliyejulikana nkwa jina moja la hassan mkazi wa mbagala akivikabidhi kwa mchungaji Katunzi baada ya kusikia injili kupitia Wapo redio siku ya jumamosi.
kutokana na baadhi ya
changamoto za maisha wanazo kumbananazo watu wa Mungu na kupitia vipindi vigumu
vya maisha imeelezwa kuwa haijalishili
unaishi katika maisha magumu kiasi cha kukata
tamaa bado Mungu anawapenda na yupo tayari kuwasaidia na kuwatoa katika matatizo
ambayo wanalipitia.
kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na mchungaji kiongozi
Floriani Katuniz wa kanisa la EAGT City
center lililpo Mtoni mtongani jijini Dar es salaam ambapo alisema kuwa mambo ya
msingi ya kiimani yanatakiwa kusimamiwa na kufuata taratibu za Mungu kulingana
na kitabu cha marko 5:21-24 , Hata Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ng'ambo
katika kile chombo, wakamkusanyikia mkutano mkuu; naye alikuwa kando ya
bahari.Akaja mtu mmoja katika wakuu wa sinagogi, jina lake Yairo; hata
alipomwona, akaanguka miguuni pake,akimsihi sana, akisema, Binti yangu mdogo yu
katika kufa; nakuomba uje, uweke mkono wako juu yake, apate kupona, na
kuishi.Akaenda pamoja naye; mkutano mkuu wakamfuata, wakimsonga-songa.
"Inawezekana maisha yako hayaendelei kila unachokigusa
hakuna mafanikia jambo ambalo linatakiwa kumlilia Mungu ili afungue milango ya
baraka na kufanikiwa sawa sawa na kitabu cha Zaburi 107:13-14,
Wakamlilia Bwana katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao.Aliwatoa
katika giza na uvuli wa mauti, Akayavunja mafungo yao. sasa
inawezekana unapitia katika mapito magumu umekata tamaa umeona kuwa haiwezekani
ila utakapo amua kumlilia Mungu katika mapito yako atakuonekania na kukusaidia
na kukufungua katika mateso ya pepo wachafu"Alisema Katunzi.
Aliongeza kuwa kuna watu ambao biashara zao zinakufa na
kuzaa mapooza jambo ambalo adui ameamua kuwavuruga na kuangamiza hivyo siku ya
tarehe nane mwezi wa nane itakuwa ibada
ya kuwaombea wafanya biashara na wafanya kazi ambao kazi na biashara zao
zimekuwa zikizaa mapooza zinaenda kuinuliwa na Mungu wa kweli anaaenda
kukubariki na kukuinua.
"tukisoma kitabu cha 2 wafalme 2:19-22 inasema kuwa Watu wa mjini wakamwambia Elisha, Angalia,
twakusihi, mahali pa mji huu ni pazuri, kama bwana wangu aonavyo; lakini maji
yake hayafai, na nchi huzaa mapooza. Akasema,
Nileteeni chombo kipya, mtie chumvi ndani yake. Wakamletea. Akatoka
akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akasema, Bwana
asema hivi, Nimeyaponya maji haya; hakutatoka huko tena kufa wala kuzaa
mapooza.Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha
alilolinena sasa Mungu anaenda kukutendea sawa sawa na neno lake. inawezekana
kuwa biashara ,kazi yako na afya yako imefukiwa sasa ni wakati wa kuinuliwa na
kuanza kuzaa matunda".alisema Katunzi.
Alinukuu kitabu cha mwanzo
26:1-22 Ikawa njaa katika nchi hiyo, mbali na njaa ile
ya kwanza iliyokuwa siku za Ibrahimu. Isaka akamwendea Abimeleki, mfalme wa
Wafilisti, huko Gerari. Bwana
akamtokea, akasema, Usishuke kwenda Misri, kaa katika nchi nitakayokuambia. Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami
nitakuwa pamoja nawe, na kukubariki, maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi
zote. Nami nitakifanya imara kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako. Nitazidisha uzao wako kama nyota za
mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa
yote ya dunia watajibarikia. Kwa
sababu Ibrahimu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, na amri
zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu Isaka
akakaa katika Gerari. Watu wa
mahali hapo wakamwuliza habari za mkewe. Akasema, Ni ndugu yangu huyu maana
aliogopa kusema, Ni mke wangu, watu wa nchi wasije wakamwua kwa ajili ya
Rebeka; kwa maana alikuwa mzuri wa uso. Ikawa
alipokuwa amekaa huko siku nyingi, Abimeleki, mfalme wa Wafilisti, akachungulia
dirishani, akamwona Isaka anacheza-cheza na Rebeka mkewe.Abimeleki akamwita
Isaka, akasema, Yakini huyu ni mkeo, mbona ulisema, Ni ndugu yangu huyu? Isaka
akamwambia, Kwa sababu nalisema, Nisife kwa ajili yake Abimeleki akasema, Ni
nini hii uliyotutendea? Labda mtu mmojawapo angalilala na mkeo bila kufikiri,
nawe ungalitutia hatiani. Basi
Abimeleki akawaamuru watu wote, akisema, Amgusaye mtu huyu au mkewe lazima
atauawa.Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa
kimoja, Bwana akambariki.Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa
mkuu sana. Akawa na mali ya
kondoo, na mali ya ng'ombe, na watumwa wengi. Hao Wafilisti wakamhusudu. Na vile visima vyote walivyochimba
watumwa wa baba yake, siku za Ibrahimu babaye, Wafilisti walikuwa wamevifukia,
wakavijaza kifusi. Abimeleki akamwambia Isaka, Utoke kwetu, maana
wewe una nguvu sana kuliko sisi. Basi
Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko. Isaka
akarudi akavichimbua vile visima vya maji walivyovichimba siku za Ibrahimu
babaye; maana wale Wafilisti walikuwa wamevifukia baada ya kufa kwake Ibrahimu;
naye akaviita majina kufuata majina alivyoviita babaye. Watumwa wa Isaka wakachimba katika
lile bonde, wakapata kisima cha maji yanayobubujika. Wachungaji wa Gerari wakagombana na
wachungaji wa Isaka wakisema, Maji haya ni yetu. Ndipo akakiita jina la kile
kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.Wakachimba kisima kingine,
wakagombania na hicho tena. Akakiita jina lake Sitna. Akaondoka
huko akachimba kisima kingine, wala hicho hawakukigombania. Akakiita jina lake
Rehobothi, akasema, Kwa kuwa sasa Bwana ametufanyia nafasi, nasi tutazidi
katika nchi.
maombi ya kuvunja mafungo kipengele cha kuvunja mauti ndiyo
somo ambalo mtumishi wa Mungu mchungaji Katunzi alifundisha ndani ya kanisa la
EAGT City Center kwa wiki mfululizo
mchungaji Katunzi alinukuu kitabu cha Mathayo 9:18-26 ambayo
inasema kuwa alipokuwa akiwaambia hayo, tazama, akaja jumbe
mmoja, akamsujudia, akisema, Binti yangu sasa hivi amekufa; lakini njoo, uweke
mkono wako juu yake, naye ataishi. Akaondoka Yesu, akamfuata, pamoja na wanafunzi
wake.Na tazama, mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa kutoka damu muda wa miaka kumi
na miwili, alikuja kwa nyuma, akaugusa upindo wa vazi lake. Kwa maana alisema moyoni mwake, Nikigusa tu
upindo wa vazi lake nitapona. Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo
mkuu, binti yangu; imani yako imekuponya. Yule mwanamke akapona tangu saa ile. Yesu alipofika nyumbani kwa yule
jumbe, aliona wapiga filimbi, na makutano wakifanya maombolezo, akawaambia, Ondokeni; kwa maana kijana hakufa,
amelala tu. Wakamcheka sana. Lakini
makutano walipoondoshwa, aliingia, akamshika mkono; yule kijana akasimama. Zikaenea habari hizi katika nchi ile yote.
Mmoja wa mtu
ambaye amefahamika kwa jin a moja la Hasani mkaazi wa mbagala ametoa ushuhuda
jinsi alivyokuwa akisikiliza redio wapo na Mungu akamtembelea kwa namna ya kipekee
na akaamua kusalimisha vifaa vya uchawi ambayo ni pembe kubwa ya faru mdogo na
ya swala pia mkuki ambayo wao kichawi wanita mshale kwa ajili ya kupambana nayo
kwenye vita kichawi hirizi sita ambazo zimepotea na dawa ya kujipaka na kuruka akitaka
kuruka na alikiwa na uwezo wa kujibadilisha.
Mara baada ya kuombewa sala ya toba bibi yake ambaye ni mrehemu
alimtembelea usiku na kumwambiakwa nini ameamua kufanya mkaamuzi hayo magumi
bila kumshirikisha sasa kutokana na hayo alimpa pembe ndogo ambayo itamsaidia
pale atakapotumiwa wanyama wakati anaweza kujigeuza a kuwa mnyama mkali kuliko
wote na kupambana nao na ndiyo kilichomtokea usiku wa kuamkia jumamosi alipambana
na wanyama wakali ila yeye alijigeuza na kuwa chui na kupambana nao na kuwaua wengine.
Pia unaweza kuwasiliana na kanisa la
EAGT City center na namba
0784367826,0754367826 na 0718267171 pia tembelea www.pastorkatunzi.blogspot.com au tovuti ya
www.eagtcc.org
0 comments:
Post a Comment