Saturday 21 May 2016

Mchungaji Florian Katunzi akionesha mkufu na kizibo ambayo alitapika binti Amina.
Baba mzazi wa Amina akishuhudia jinsi biti yake alivyofunguliwa katika mateso ya pepo wachafu.
wazazi wa binti huyo wakiwa madhabauri na mdogo wake
Mchungaji Katunzi akionesha mkufu na kizibo ambayo binti huyo alidai kuwa ametumwa kuja kuchukulia damu.



waumini ndani ya kanisa la EAGT City Center waiomba wakiongozwa na mchungaji Katunzi hayupo pichani

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Eagt City Centre Blog 2013. Powered by Blogger.

About Me

My photo
Jicho langu latoka machozi lisokome,wala haliachi;Hata BWANA atakapoangalia. Nakutazama toka mbinguni Maombolezo 3:49-50

Followers

Featured Posts

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget